Coding the Future

Ukiota Ndoto Uko Uchi By Mwl Boniface Mwamafupa

ukiota Ndoto Uko Uchi By Mwl Boniface Mwamafupa Youtube
ukiota Ndoto Uko Uchi By Mwl Boniface Mwamafupa Youtube

Ukiota Ndoto Uko Uchi By Mwl Boniface Mwamafupa Youtube Mwanzo 3:22 walipokula tunda wakajiona wako uchi, hii inatusaidia kujua kuna kitu kikiondoka juu yako unaweza kuota ndoto kuwa uko uchi. Ni somo linalolenga kumsaidia mtu kujua baadhi ya ndoto anazoota ambazo anapokea taarifa flani katika ulimwengu wa roho ili kumsaidia mtu huyo.

mwl boniface mwamafupa Tambua Umuhimu Wa Watu Katika Maisha Yako
mwl boniface mwamafupa Tambua Umuhimu Wa Watu Katika Maisha Yako

Mwl Boniface Mwamafupa Tambua Umuhimu Wa Watu Katika Maisha Yako Ni matumaini yangu umebarikiwa sana na mafundisho yetu tafadhali naomba u share ujumbe huu kwa watu wengine na mungu wa mbinguni akubariki sana tunakupenda. 358. 924. feb 23, 2024. #1. hii itakuongezea maarifa, ukiota ujue nini ulichokiota, na maana yake, na namna utakavyoingia kwenye maombi juu ya hiyo ndoto. 1.wanyama:kuota unakimbizwa na wanyama wakali inaasshiria mashambulizi ya kipepo,yaaani nguvu za giza zimejizatiti dhidi ya maish yako. 2. Ndoto za namna hii huwa ni mungu anaamua kumjulisha mtu vile alivyo au juu ya aibu itakayo mpata au iliyompata. siku zote ndoto ya kuwa uchi wa mnyama yaani bila nguo ukiwa unatembea au ukiwa unazungumza katikati ya watu, au kuota unatoka uchi bafuni,ndani au chooni au mtu kukuvua nguo na kukimbia au kumuota mtu akiwa uchi ana nguo ya ndani tuu au ni mtupu huwa zinaashiria aibu ambayo inaweza. Ukiona unaota ndoto ya aina hii, kwanza ni lazima ujue sio ndoto #nzuri kwako, kuota ndoto upo uchi au mtu fulani yupo uchi, ni vema kujua kuwa kuna jambo baya la aibu litampata au limesha mpata na analipitia kwa muda huo, ukiota ndoto ya kuwa uchi ni siri ambayo mungu anakufunulia juu ya aibu itakayokupata uliyopangiwa, yaani kuna jambo kubwa la aibu pengine ni kwa sababu ya dhambi au aina ya.

mwl boniface mwamafupa Majira Ya Mungu Katika Maisha Ya Mtu Youtube
mwl boniface mwamafupa Majira Ya Mungu Katika Maisha Ya Mtu Youtube

Mwl Boniface Mwamafupa Majira Ya Mungu Katika Maisha Ya Mtu Youtube Ndoto za namna hii huwa ni mungu anaamua kumjulisha mtu vile alivyo au juu ya aibu itakayo mpata au iliyompata. siku zote ndoto ya kuwa uchi wa mnyama yaani bila nguo ukiwa unatembea au ukiwa unazungumza katikati ya watu, au kuota unatoka uchi bafuni,ndani au chooni au mtu kukuvua nguo na kukimbia au kumuota mtu akiwa uchi ana nguo ya ndani tuu au ni mtupu huwa zinaashiria aibu ambayo inaweza. Ukiona unaota ndoto ya aina hii, kwanza ni lazima ujue sio ndoto #nzuri kwako, kuota ndoto upo uchi au mtu fulani yupo uchi, ni vema kujua kuwa kuna jambo baya la aibu litampata au limesha mpata na analipitia kwa muda huo, ukiota ndoto ya kuwa uchi ni siri ambayo mungu anakufunulia juu ya aibu itakayokupata uliyopangiwa, yaani kuna jambo kubwa la aibu pengine ni kwa sababu ya dhambi au aina ya. Ndoto hatari ambazo ukiota lazima uingie maombi ya vita watu wengi wanashambuliwa kupitia ndoto hizi ni baadhi ya ndoto ukiota vunja kwa maombi 1)ukiota upo uchi. Kuota upo uchi. ufunuo 16:15 “(tazama, naja kama mwivi.heri akeshaye, na kuyatunza mavazi yake, asiende uchi hata watu wakaione aibu yake.)”. kipindi fulani nyuma kabla sijampa bwana maisha yangu, niliota ndoto moja ambayo hadi leo sitaisahau, niliota nimejikuta nipo uchi, halafu nakatiza barabarani mjini maeneo ya posta dar es salaam, sasa nilipojiona nipo vile nikawa ninatafuta namna ya.

Comments are closed.