Coding the Future

Tanzania Yafungua Milango Uwekezaji Biashara Ya Hewa Uk

tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa
tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa

Tanzania Yafungua Milango Uwekezaji Biashara Ya Hewa Ukaa Na mwandishi wetu, jamhuri media, dar es salaam. serikali kupitia wizara ya maliasili na utalii imeweka milango wazi kwa wawekezaji nchini na duniani kote kuwekeza kwenye biashara ya hewa ukaa ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa "ibara ya 6.4" ya mkataba wa paris, ambayo inalenga kukabiliana na kupunguza athari za mabadiliko ya tabia ya nchi. Akiongelea faida ambazo tanzania imezipata kutokana na biashara ya hewa ukaa, mhe. kairuki amesema mpaka sasa vijiji vinane (8) vya wilaya ya tanganyika vimepokea zaidi ya tzs bilioni nane katika kipindi cha miaka mitano (5) iliyopita chini ya msaada wa kampuni ya carbon tanzania na kampuni hiyo iko mbioni kushirikisha maeneo matano (5) ya usimamizi wa wanyamapori wma yaliyoko kusini mwa.

tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa
tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa

Tanzania Yafungua Milango Uwekezaji Biashara Ya Hewa Ukaa Mamlaka ya usimamizi wanyamapori tanzania (tawa) imesaini makubaliano ya awali (mou) ya kufanya biashara ya hewa ukaa (carbon dioxide co2) na kampuni ya kigeni ya greencop development pte ltd leo mei 18, 2023 jijini dar es salaam. makubaliano hayo yamesainiwa na kamishna wa uhifadhi wa tawa. Makala: hewa ukaa biashara rafiki wa mazingira. by mtanzania digital. june 10, 2021. 0. 2023. mkurugenzi wa kituo cha taifa cha utafiti wa hewa ukaa (ncmc) profesa eliakimu zahabu, akielezea jambo kwenye warsha ya siku moja iliyokutanisha wanahabari kutoka chama cha waandishi wa habari za mazingira tanzania (jet). na sidi mgumia, morogoro. Chuachua amesema kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu kwsa ajili ya hewa ya ukaa ni kupata fursa ya biashara hiyo ambayo faida yake itasaidia kuboresha huduma kwa wananchi wake. amesema wilaya ina fursa kubwa ya kuwekeza katika biashara hiyo kwa kuzingato kuwa kilomita za mraba 12,084.5 sawa na asilimia 86 ya eneo lote la wilaya hiyo. Unachotakiwa kufanya katika biashara hii ni kuhifadhi misitu ya asili na mazingira. misitu ya asili ina uwezo mkubwa wa kufyonza na kuhifadhi hewa ukaa na hewa. sumu. baadhi wamenufaika na mpango huo unaoratibiwa na taasisi ya carbon tanzania kwa mujibu wa makala iliyochapishwa na gazeti la serikali la habari leo januari 5, 2021, wananchi.

tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa
tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa

Tanzania Yafungua Milango Uwekezaji Biashara Ya Hewa Ukaa Chuachua amesema kusudio la kuanzisha mradi wa hifadhi ya misitu kwsa ajili ya hewa ya ukaa ni kupata fursa ya biashara hiyo ambayo faida yake itasaidia kuboresha huduma kwa wananchi wake. amesema wilaya ina fursa kubwa ya kuwekeza katika biashara hiyo kwa kuzingato kuwa kilomita za mraba 12,084.5 sawa na asilimia 86 ya eneo lote la wilaya hiyo. Unachotakiwa kufanya katika biashara hii ni kuhifadhi misitu ya asili na mazingira. misitu ya asili ina uwezo mkubwa wa kufyonza na kuhifadhi hewa ukaa na hewa. sumu. baadhi wamenufaika na mpango huo unaoratibiwa na taasisi ya carbon tanzania kwa mujibu wa makala iliyochapishwa na gazeti la serikali la habari leo januari 5, 2021, wananchi. Alex mchomvu 06.10.2023 6 oktoba 2023. serikali ya tanzania kupitia wakala wa misitu, kwa kushirikiana na taasisi binafsi na makampuni mbalimbali amenza biashara ya kununua hewa ya ukaa. Biashara hiyo inahusisha upandaji na utunzaji wa miti na kuweka mifumo inayodhibiti uzalishaji wa hewa ukaa katika shughuli mbalimbali katika sekta za kilimo, nishati, viwanda, miundombinu. “biashara ya hewa ukaa inasisitizwa duniani na umoja wa mataifa kwa sababu kiwango cha hewa ukaa kimeongezeka sana na kinatishia maisha ya binadamu na.

tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa
tanzania yafungua milango uwekezaji biashara ya hewa Ukaa

Tanzania Yafungua Milango Uwekezaji Biashara Ya Hewa Ukaa Alex mchomvu 06.10.2023 6 oktoba 2023. serikali ya tanzania kupitia wakala wa misitu, kwa kushirikiana na taasisi binafsi na makampuni mbalimbali amenza biashara ya kununua hewa ya ukaa. Biashara hiyo inahusisha upandaji na utunzaji wa miti na kuweka mifumo inayodhibiti uzalishaji wa hewa ukaa katika shughuli mbalimbali katika sekta za kilimo, nishati, viwanda, miundombinu. “biashara ya hewa ukaa inasisitizwa duniani na umoja wa mataifa kwa sababu kiwango cha hewa ukaa kimeongezeka sana na kinatishia maisha ya binadamu na.

Comments are closed.