Coding the Future

Prophet Hebron Upofu Wa Kiroho Okoka Sasa Yesu Anarudi

prophet Hebron Upofu Wa Kiroho Okoka Sasa Yesu Anarudi Youtube
prophet Hebron Upofu Wa Kiroho Okoka Sasa Yesu Anarudi Youtube

Prophet Hebron Upofu Wa Kiroho Okoka Sasa Yesu Anarudi Youtube Description. Mara nyingi yesu amekuwa akinieleza waandae watu ili niwapate mimi na shetani awakose, sababu wanadamu wengi zaidi wanaona wapo sawa kabisa na wanafikiri kuwa katika siku ya unyakuo na wao watanyakuliwa waeleze wanirejee mimi wengi zaidi wapo katika njia pana kwa sasa (barabara ya jehanamu) na sababu kubwa hebron watu wananipenda ila wameletwa watumishi wapinga kristo wanawafundisha kinyume na.

prophet hebron Kujengwa Juu Ya Mwamba kiroho okoka sasa yesu
prophet hebron Kujengwa Juu Ya Mwamba kiroho okoka sasa yesu

Prophet Hebron Kujengwa Juu Ya Mwamba Kiroho Okoka Sasa Yesu Ikafika muda nikawa nasema sasa yesu nitakaaje bila ya kuwa na baba wa kiroho, akaniambia mimi ndiye baba yako wa kiroho, achana na hao wewe mwenyewe ni shahidi kwa ajili ya hayo waliyokutendea, hao siyo baba yako wa kweli wa kiroho, hawajui uchungu kuhusu wewe akaniambia, hao nilikupitisha tu huko ukaekae hadi wakati wangu ukifika nikutoe, hao ni baba wa kambo wa kiroho. Mtume na nabii hebron wilson kisamo ni mtumishi wa mungu wa kweli ambaye yesu amemchagua amtumikie yeye ili kuukomboa ulimwengu huu ambao umepotea na shetani ameumiliki kwa asilimia 98%, kwani. Sasa watu wanapigwa upofu katika eneo hili la ubatizo ambalo ni muhimu sana, ili uzaliwe mara ya pili ni lazima ubatizwe kwa maji mengi, yesu anaiita kuzaliwa mara ya pili sababu ukisha zaliwa kimwili na ukisha kuwa mtu hauwezi tena kuingia katika tumbo la mama yako, hivyo kiroho kuzaliwa mara ya pili kwa njia ya ubatizo wa maji mengi peke yake kama alivyobatizwa yesu wa nazareti, hivyo mpaka. Mengi utayakuta kwenye vitabu nilivyoviandika, cd na dvd. hakika utafunguka ufahamu wako utajua jinsi kanisa lilivyotekwa na shetani. na zaidi, yesu alipokuwa akinifundisha, alinionyesha na kunifunulia ulimwengu wote, jinsi ulivyo kwa sasa, akasema watumishi ndio wanatumiwa 98% kuliharibu kanisa. kwa mfano aliniambia, idadi kubwa ya watumishi.

Comments are closed.