Coding the Future

Jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Na Laini Youtubeо

chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka
chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka

Chapati Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Website: rukiaskitchen facebook: rukias kitchen cookpad: rukias kitchen instagram: rukias kitchenmapishi rahisi ya chapati za nyama | jinsi yakupika cha. Ingredients mahitaji:500g flour unga1 tbsp sugar sukarisalt to taste chumvi 4 tbsp milk powder maziwa ya unga2 tbsp oil mafuta1 & ¼ cup warm water.

jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka Soft Layered о
jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka Soft Layered о

Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Soft Layered о #chapatizakuchambuka #chapatizakurasahey loveliestoday i bring you an easier version of chapati za kurasa, multilayered chapatis.very easy make and so yummy . 1.kwanza hakikisha unakanda unga vizuri. make sure you knead the dough very well. 2.lazima unga uukande mpaka uwe laini sana. the kneaded dough must be very soft. 3.baada ya kukata madonge ya idadi ya chapati unazo zitaka. divide the dough into any number you want. 4.wakati wa kusukuma tumia unga kuhakikisha unapata duara kubwa kiasi. Jinsi ya kupika chapati laini ya kuchambukamapishi ya chapati lainimahitaji:1 kg unga wa ngano2 tbsp sukari¾ tbsp chumvi4 tbsp mafuta2 & ¼ cups maji ya vuguvugu. Jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka. mahitaji. unga wa ngano vikombe 3 samli ilioekwa motoni kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani takriban 4 chumvi kiasi chako maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) matayarisho. weka unga kwenye bakuli uchanganye na chumvi vizuri weka samli uchanganye mpaka vidonge vyote viishe.

chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka
chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka

Chapati Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Jinsi ya kupika chapati laini ya kuchambukamapishi ya chapati lainimahitaji:1 kg unga wa ngano2 tbsp sukari¾ tbsp chumvi4 tbsp mafuta2 & ¼ cups maji ya vuguvugu. Jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka. mahitaji. unga wa ngano vikombe 3 samli ilioekwa motoni kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani takriban 4 chumvi kiasi chako maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) matayarisho. weka unga kwenye bakuli uchanganye na chumvi vizuri weka samli uchanganye mpaka vidonge vyote viishe. Paka mafuta kidogo juu ya chapati yako uliyoisukuma, waweza kutumia samli au mafuta mazito kama samli. 4 kunja chapati yako irudi katika umbo la donge tena. hapa ndio key unaweza kufanya chapati yako ikawa ngumu au ikawa laini yenye layers. 5. sukama tena donge lako ulilolikunja, anza na lile la kwanza. Sukuma chapati hadi iwe sawa. paka mafuta kwenye chapati na anza kukunja. rudia hilo zoezi kwa madonge yote yaliyobaki. ukimaliza, anza kusukuma chapati zako kwa ajili ya kupika. bandika kikaango jikoni. acha kipate moto vizuri. weka chapati, acha iive hadi iwe rangi ya kahawia. geuza upande wa pili, paka mafuta upande uliokua wa kahawia.

Comments are closed.