Coding the Future

Jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Laini Sana Soft And Layered

jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Laini Sana Soft And Layered
jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Laini Sana Soft And Layered

Jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Laini Sana Soft And Layered Ingredients mahitaji:500g flour unga1 tbsp sugar sukarisalt to taste chumvi 4 tbsp milk powder maziwa ya unga2 tbsp oil mafuta1 & ¼ cup warm water. In this video i show you how to make chapati, a swahili dish that also has a little bit of indian influence in it. it's very easy to make, easy to find the i.

jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka soft
jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka soft

Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Soft Jinsi ya kupika chapati za kurasa socialsinstagram @ika malle tiktok ika malleemail: phenomenalika@gmail bites zenye nyama ndan mikate yenye nyama ndan. 1.kwanza hakikisha unakanda unga vizuri. make sure you knead the dough very well. 2.lazima unga uukande mpaka uwe laini sana. the kneaded dough must be very soft. 3.baada ya kukata madonge ya idadi ya chapati unazo zitaka. divide the dough into any number you want. 4.wakati wa kusukuma tumia unga kuhakikisha unapata duara kubwa kiasi. Paka mafuta kidogo juu ya chapati yako uliyoisukuma, waweza kutumia samli au mafuta mazito kama samli. 4 kunja chapati yako irudi katika umbo la donge tena. hapa ndio key unaweza kufanya chapati yako ikawa ngumu au ikawa laini yenye layers. 5. sukama tena donge lako ulilolikunja, anza na lile la kwanza. Jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka. mahitaji. unga wa ngano vikombe 3 samli ilioekwa motoni kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani takriban 4 chumvi kiasi chako maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) matayarisho. weka unga kwenye bakuli uchanganye na chumvi vizuri weka samli uchanganye mpaka vidonge vyote viishe.

Comments are closed.