Coding the Future

Jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Laini Sana Softођ

chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka
chapati jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka

Chapati Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Ingredients mahitaji:500g flour unga1 tbsp sugar sukarisalt to taste chumvi 4 tbsp milk powder maziwa ya unga2 tbsp oil mafuta1 & ¼ cup warm water. In this video i show you how to make chapati, a swahili dish that also has a little bit of indian influence in it. it's very easy to make, easy to find the i.

Jifinze kupika jinsi ya kupika chapati laini How To Cook soft
Jifinze kupika jinsi ya kupika chapati laini How To Cook soft

Jifinze Kupika Jinsi Ya Kupika Chapati Laini How To Cook Soft Website: rukiaskitchen facebook: rukias kitchen cookpad: rukias kitchen instagram: rukias kitchenmapishi rahisi ya chapati za nyama | jinsi yakupika cha. Kuna njia tofauti za kukanda chapati zako zikawa laini, lakini siri kubwa ya kupata chapati nzuri ni kuukanda huo unga vizuri na ulainike. mahitaji basic: 1. unga wa ngano 2. chumvi 3. sukari kidogo sana kwa ajili ya seasoning 4. mafuta kidogo ya kukandia kulingana na unga wako, usijaze mafuta kibao 5. 1.kwanza hakikisha unakanda unga vizuri. make sure you knead the dough very well. 2.lazima unga uukande mpaka uwe laini sana. the kneaded dough must be very soft. 3.baada ya kukata madonge ya idadi ya chapati unazo zitaka. divide the dough into any number you want. 4.wakati wa kusukuma tumia unga kuhakikisha unapata duara kubwa kiasi. Vitunguu maji kwa ajili ya kuongeza ladha. 5. nyama ya kusaga au mboga mboga yoyote ile kwa ajili ya kubadilisha aina za chapati sio kila siku ni chapati design ile ile tu. kwa basic chapati stage 1: 1. tia unga wako kwenye chombo au mashine yako ya kukandia. 2. weka chumvi, na sukari kidogo kwa ajili ya seasoning.

jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka soft Lay
jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka soft Lay

Jinsi Ya Kupika Chapati Laini Za Kuchambuka Soft Lay 1.kwanza hakikisha unakanda unga vizuri. make sure you knead the dough very well. 2.lazima unga uukande mpaka uwe laini sana. the kneaded dough must be very soft. 3.baada ya kukata madonge ya idadi ya chapati unazo zitaka. divide the dough into any number you want. 4.wakati wa kusukuma tumia unga kuhakikisha unapata duara kubwa kiasi. Vitunguu maji kwa ajili ya kuongeza ladha. 5. nyama ya kusaga au mboga mboga yoyote ile kwa ajili ya kubadilisha aina za chapati sio kila siku ni chapati design ile ile tu. kwa basic chapati stage 1: 1. tia unga wako kwenye chombo au mashine yako ya kukandia. 2. weka chumvi, na sukari kidogo kwa ajili ya seasoning. Jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka. mahitaji. unga wa ngano vikombe 3 samli ilioekwa motoni kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani takriban 4 chumvi kiasi chako maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) matayarisho. weka unga kwenye bakuli uchanganye na chumvi vizuri weka samli uchanganye mpaka vidonge vyote viishe. Sukuma chapati hadi iwe sawa. paka mafuta kwenye chapati na anza kukunja. rudia hilo zoezi kwa madonge yote yaliyobaki. ukimaliza, anza kusukuma chapati zako kwa ajili ya kupika. bandika kikaango jikoni. acha kipate moto vizuri. weka chapati, acha iive hadi iwe rangi ya kahawia. geuza upande wa pili, paka mafuta upande uliokua wa kahawia.

jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za Kimorocco Flaky о
jinsi ya kupika chapati za kuchambuka za Kimorocco Flaky о

Jinsi Ya Kupika Chapati Za Kuchambuka Za Kimorocco Flaky о Jinsi ya kupika chapati laini za kuchambuka. mahitaji. unga wa ngano vikombe 3 samli ilioekwa motoni kwa sekunde kadhaa vijiko vya mezani takriban 4 chumvi kiasi chako maji yasiokuwa moto wala baridi(at room temperature) matayarisho. weka unga kwenye bakuli uchanganye na chumvi vizuri weka samli uchanganye mpaka vidonge vyote viishe. Sukuma chapati hadi iwe sawa. paka mafuta kwenye chapati na anza kukunja. rudia hilo zoezi kwa madonge yote yaliyobaki. ukimaliza, anza kusukuma chapati zako kwa ajili ya kupika. bandika kikaango jikoni. acha kipate moto vizuri. weka chapati, acha iive hadi iwe rangi ya kahawia. geuza upande wa pili, paka mafuta upande uliokua wa kahawia.

Comments are closed.