Coding the Future

Jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili

jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili
jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili

Jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili Kuhusu kazi za kulipwa mtandaoni. tangu kuzuka kwa covid 19, kazi za mtandaoni zimekuwa na mahitaji makubwa. kuwepo kwa njia rahisi rahisi za kulipa wafanyakazi wa kujitegemea afrika kumerahisisha kuwajiri freelancers (wafanyikazi huria) wa kiafrika. kazi mtandaoni zinaajiri maelfu ya watu barani afrika kupitia tovuti hizi za kazi mtandaoni. Inavyofanya kazi. kuanza kazi katika kuhustle ni rahisi, bonyeza “start working” ili kujisajili. lazima ujiunge kwa kutumia gmail, twitter au facebook ili uweze kutumia kuhustle. bonyeza sehemu ya maelezo yako binafsi na uyajaze. maelezo yako yanahusisha sehemu za lazima yaani ujuzi, tajiriba na habari za kibinafsi.

jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili
jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili

Jinsi Ya Kupata Kazi Online Fifi Finance Kiswahili Paypal. paypal ni mwanzilishi wa malipo ya mtandaoni. ni njia ya kawaida zaidi inayotumiwa na wafanyakazi wanaojitegemea kutoka zaidi ya nchi mia mbili tangu mwaka 2002. unatakiwa kuunganisha akaunti yako ya benki na akaunti ya paypal, kisha thibitisha akaunti hiyo. kutuma pesa kutoka akaunti moja ya paypal kwenda nyingine ni papo hapo, wakati. Nov 30, 2016. 3,927. 5,707. feb 17, 2020. #1. habari wakuu. kama kichwa cha habari kinavyojieleza embu tushirikishane website mbalimbali duniani au recruiting agencies za nje ya nchi ambazo husaidia watu hasa waafrika kupata kazi nje ya nchi. pia ambazo zinawakutanisha expats na raia kutoka nchi mbalimbali duniani kwa lengo ambalo ni kikazi. Hatua za kupata leseni ya biashara online. jisajili kwenye mfumo wa tausi tamisemi. tembelea tovuti ya tausi tamisemi na jisajili kwa kufuata maelekezo yaliyopo. hakikisha unayo nyaraka muhimu kama namba ya utambulisho wa mlipakodi (tin), hati ya kutokudaiwa kodi (tax clearance certificate), na mkataba wa pango. Jinsi ya kulipia leseni ya biashara online, kuna njia mpya na rahisi ya kulipia leseni ya biashara mtandaoni nchini tanzania. mfumo huu unajulikana kama tausi portal, ambao unapatikana kupitia tovuti ya tamisemi. mfumo huu unalenga kurahisisha mchakato wa maombi ya leseni na kupunguza muda unaotumika katika kupata leseni za biashara.

Comments are closed.