Coding the Future

Dalili Za Hatari Kwa Mama Mjamzito Ni Zipi Afyaclass

dalili Za Hatari Kwa Mama Mjamzito Ni Zipi Afyaclass
dalili Za Hatari Kwa Mama Mjamzito Ni Zipi Afyaclass

Dalili Za Hatari Kwa Mama Mjamzito Ni Zipi Afyaclass Dalili za hatari kwa mama mjamzito ni zipi. moja ya vitu ambavyo wakina mama wajawazito hupewa elimu wanapohudhuria kliniki kuanzia siku ya kwanza ni pamoja na kufundishwa kuhusu dalili za hatari wakati wa ujauzito(danger signs), ukiwa unafahamu dalili za hatari wakati wa ujauzito itasaidia sana kuchukua hatua mapema pale unapoona viashiria vya. Dalili za hatari kwa mama mjamzito ni pamoja na; 1. kuvuja damu ukeni wakati wa ujauzito. 2. kutomsikia mtoto akicheza kwa zaidi ya masaa 24 kwa wale ambao ujauzito umefikia umri wa mtoto kucheza tumboni. 3. kuvimba sana miguu,uso pamoja na mikono wakati wa ujauzito. 4.

dalili za hatari kwa mama mjamzito Karibu kwenye Blog Ya о
dalili za hatari kwa mama mjamzito Karibu kwenye Blog Ya о

Dalili Za Hatari Kwa Mama Mjamzito Karibu Kwenye Blog Ya о Mama mjamzito ambaye ana group la damu negative yaani mfano; group a rhesus factor negative (a ), ikiwa mwanaume aliyepata naye ujauzito ni group la damu positive mfano; group a rhesus factor positive (b ). yupo kwenye hatari ya kumpoteza mtoto aliyemzaa hasa ujauzito wa pili, au yupo kwenye hatari ya kupata mimba na kutoka zenyewe. kwahyo basi. Ikiwa mama mjamzito anapata dalili yoyote ya hatari, inashauriwa kutafuta matibabu mara moja. kuchelewesha matibabu katika hali hizi inaweza kuwa na madhara makubwa kwa afya ya mama na mtoto. daktari wa huduma ya uzazi au kituo cha matibabu cha dharura kinapaswa kushughulikia hali hiyo. wakati wa ujauzito, ni muhimu kutambua dalili za hatari. Soma pia hii makala: mama mjamzito: vijue vyakula anavyopaswa kula na vyakula hatarishi kwa afya yake na mtoto aliye tumboni. 2) uchunguzi wa afya. ni muhimu kwa mama mjamzito kufanya uchunguzi wa mara kwa mara na kufuata ushauri wa daktari au mtoa huduma ya afya. hii ni pamoja na kuhudhuria kliniki za uzazi na kufuata ratiba ya chanjo. Ni muhimu kwa mama mjamzito kufahamu na kutambua dalili za uchungu au leba ili aweze kuchukua tahadhari na kufika hospitalini kwa wakati. makala hii inaelezea dalili za uchungu kama vile maumivu ya tumbo la uzazi, mshipa wa damu unaovuja, na mabadiliko katika harakati za mtoto ndani ya tumbo la uzazi. ikiwa unaona dalili hizi, ni muhimu kwenda.

Comments are closed.