Coding the Future

Benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25

benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25
benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25

Benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25 Tarehe 31 agosti 2023: serikali imeipongeza benki ya crdb kwa hatifungani yake ya kijani yenye thamani ya dola za marekani milioni 300 zitakazowekezwa kwenye miradi yenye mrengo wa kulinda mzingira. pongezi hizo zimetolewa na waziri wa nchi, ofisi ya rais; mipango na uwekezaji, mheshimiwa kitila mkumbo alipozindua uuzaji wa hatifungani hiyo jijini hapa. Hatifungani ya kijani ya benki ya crdb inamhakikishia mwekezaji faida ya kiwango cha riba ya asilimia 10.25 kwa mwaka, faida ya juu zaidi ambayo huwezi kupata kutoka katika taasisi nyingine za fedha. pia, kiwango cha riba hulipwa mara mbili kwa mwaka, baada ya kila miezi sita, na kumfanya mwekezaji kuwa na uhakika wa kurudisha fedha zake ndani ya muda mfupi.

benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25
benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25

Benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25 Ni kubwa zaidi kutolewa kusini mwa jangwa la sahara. itauzwa dse na lse kuwezesha miradi ya mazingira. na mwandishi wetu, timesmajira online. katika juhudi za kuongeza uwezo wake wa kufanya uwezeshaji wa miradi rafiki kwa mazingira, benki ya crdb imepata idhini kutoka mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana (cmsa) kuuza hatifungani ya kijani (green bond) yenye thamani ya dola 300 milioni za. Mkurugenzi mtendaji wa crdb bank foundation na mkurugenzi wa mawasiliano wa benki ya crdb, tully esther mwambapa akizungumza katika hafla kukabidhi kibali cha kutoa hatifungani ya kijani "green bond" yenye ya thamani ya dola milioni 300 za marekani sawa na shilingi bilioni 780 kwa benki ya crdb, iliyofanyika kwenye hoteli ya johari rotana jijini dar es salaam leo. Kamishna wa idara ya uendelezaji sekta ya fedha kutoka wizara ya fedha, dkt charles mwamaja (katikati) akiwasili katika hafla ya kutangaza matokeo ya hatifungani ya kijani ya benki ya crdb ‘kijani bond” iliyofanyika hoteli ya johari rotana ambapo benki ya crdb imetangaza kukusanya shilingi bilioni 171.82 sawa na asilimia 429.55 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 40 ambazo zitaelekezwa. Ofisa mtendaji mkuu wa mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana(cmsa) cpa.nicodemus amesema mauzo ya toleo la kwanza la kijani ya benki ya crdb yaliyofunguliwa agosti 31,2023 na kufungwa oktoba 6,2023 yawewezesha kupatikana kwa sh.bilioni 171.83 ikilinganisha na kiasi sh.bilioni 40 zilizotarajiwa kupatikana.

benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25
benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25

Benki Ya Crdb Yapongezwa Kwa Hatifungani Ya Kijani Yenye Riba Ya 10 25 Kamishna wa idara ya uendelezaji sekta ya fedha kutoka wizara ya fedha, dkt charles mwamaja (katikati) akiwasili katika hafla ya kutangaza matokeo ya hatifungani ya kijani ya benki ya crdb ‘kijani bond” iliyofanyika hoteli ya johari rotana ambapo benki ya crdb imetangaza kukusanya shilingi bilioni 171.82 sawa na asilimia 429.55 ya lengo la kukusanya shilingi bilioni 40 ambazo zitaelekezwa. Ofisa mtendaji mkuu wa mamlaka ya masoko ya mitaji na dhamana(cmsa) cpa.nicodemus amesema mauzo ya toleo la kwanza la kijani ya benki ya crdb yaliyofunguliwa agosti 31,2023 na kufungwa oktoba 6,2023 yawewezesha kupatikana kwa sh.bilioni 171.83 ikilinganisha na kiasi sh.bilioni 40 zilizotarajiwa kupatikana. Mkuu wa wilaya huyo alitumia fursa hiyo kuwekeza katika hatifungani ya kijani ya benki ya crdb “kijani bond” ambayo imebaki siku tano tu dirisha la uwekezaji kufungua. mhe. mpogolo aliwahimiza wananchi kuchangamkia fursa hiyo na kunufaika na riba shindani ya asilimia 10.25 kwa mwaka. Hafla ya uzinduzi wa hatifungani ya kijani 'green bond' ya benki ya crdb uliofanyika jijini dar es salaam leo agosti 31, 2023.

Comments are closed.